Rais Samia Suluhu Hassan akipokea mchele wa 'Pure Aromatic Rice' kutoka kwa wanufaika wa mkopo wa TADB wa kampuni ya Raphael Group wanaouza nafaka ndani na nje ya nchi wakati alipotembelea banda la TADB wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vifaa kwa maafisa ugani wa kilimo mjini Dodoma.