Page ARCHIVE

TADB yatoa mafunzo kwa wakulima wadogo wa michikichi Kigoma

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mafunzo kwa wakulima wadogo zaidi ya 300 wa zao la mchikichi mkoani Kigoma. Mafunzo hayo yalilenga kuimarisha wakulima katika: ✅Kilimo biashara ✅Elimu ya fedha ✅Usimamizi wa mikopo ✅Kanuni bora za uzalishaji TADB imetoa zaidi ya Sh. bilioni 1.9 kuwezesha mnyororo wa thamani wa zao hilo.

H.E President Samia visits TADB Booth

Tanzania registers impressive successes in dairy-subsector as the number of hybrid dairy cattle increase by four folds to 1.29 Mil in 2018/19 from 783,000 in 2017/18...