TADB na programu ya kilimo biashara kwa vijana ‘Building a Better Tomorrow’ (BBT)

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) tunaamini programu hii italeta mapinduzi ya kilimo nchini kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo biashara kwa:

✅ Kuongeza ujuzi wa vijana katika kilimo biashara 📈 ✅ Kukuza ajira kwa vijana hadi milioni 1️⃣

✅ Kuchochea ukuaji wa sekta ya kilimo kwa 10%

Kazi Iendelee!