ARCHIVE ya Ukurasa

TADB, PBZ kuwawezesha wakulima wadogo wa Zanzibar

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupitia Mpango wake wa Udhamini wa Mikopo kwa Wakulima Wadogo (SCGS) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wameweka mipango mkakati ya kuwawezesha wakulima wadogo visiwani humo. Akizungumza katika ziara ya kikazi PBZ, Meneja wa Mfuko wa Wakala wa TADB, Asha Tarimo, alisema kuwa PBZ ni washirika wa kimkakati katika kusambaza fedha za kilimo kwa wakulima wadogo...

TADB yatoa mafunzo kwa wakulima wadogo wa michikichi Kigoma

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mafunzo kwa wakulima wadogo zaidi ya 300 wa zao la mchikichi mkoani Kigoma. Mafunzo hayo yalilenga kuimarisha wakulima katika: ✅Kilimo biashara ✅Elimu ya fedha ✅Usimamizi wa mikopo ✅Kanuni bora za TADB imetoa zaidi ya Sh. bilioni 1.9 kuwezesha mnyororo wa thamani wa zao hilo.

Rais Samia atembelea banda la TADB

Tanzania yapata mafanikio makubwa katika sekta ndogo ya maziwa kwani idadi ya ng'ombe chotara iliongezeka kwa mazizi manne hadi Mil 1.29 mwaka 2018/19 kutoka 783,000 mwaka 2017/18...