Waziri Mkuu Majaliwa Awapongeza TADB
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza TADB kwa kazi nzuri, na kusisitiza juhudi zaidi katika kuboresha sekta ya kilimo. Waziri Mkuu Majaliwa ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa mchango wake wa kutoa mikopo yenye riba nafuu na hivyo kusaidia kuboresha maisha...
TADB inawatunuku wahitimu bora wa SUA
Kufuatia mpango mkakati wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania uliozinduliwa hivi karibuni, TADB imeshiriki katika kongamano maalum la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa ajili ya kuwapongeza wanafunzi na wahadhiri kwa mafanikio mbalimbali ya kielimu yaliyopatikana mwaka 2023. TADB ilishiriki na kuwatunuku wanafunzi kumi bora wahitimu. katika mkutano huo mgeni wa...