ARCHIVE ya Ukurasa

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.) akitembelea banda la TADB katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo “Nane Nane” 2023, Mbeya.

Mhe. Majaliwa akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Sera na Utafiti Bw.Mkani Waziri na kuelezwa kuhusu maendeleo ya benki yenye taarifa za utoaji wa mikopo, faida, pamoja na idadi ya wanufaika wa mikopo ya benki katika mikopo ya vijana na wanawake. Katika mazungumzo hayo Mhe. Majaliwa ameitaja TADB kuwa ni taasisi...

TADB katika Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo 2023 “Nane Nane” katika viwanja vya John Mwakangale Mbeya

Benki ya Wakulima TADB inaungana na wakulima wote katika kuadhimisha msimu wa wakulima na kusherehekea pamoja jijini Mbeya kuanzia tarehe 1- 8 Agosti katika viwanja vya John Mwakangale Mkurugenzi Mkuu wa TADB Frank Nyabundege akipewa maelezo ya Elisante Richard kutoka Eat Fresh walengwa wa TADB walioonyesha bidhaa zao kwenye Banda la TADB kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa "Nane Nane" John...