TADB inashirikiana na Clinton Development Initiative kutoa USD 500,000 za Kichocheo cha Fedha kwa AMCOs kwa mnyororo wa thamani wa Soya Mkoani Iringa.
Tanzania yapata mafanikio makubwa katika sekta ndogo ya maziwa kwani idadi ya ng'ombe chotara iliongezeka kwa mazizi manne hadi Mil 1.29 mwaka 2018/19 kutoka 783,000 mwaka 2017/18...