TADB NA NMB ZASHIRIKIANA KUPANUA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA KWA WAKULIMA WADOGO.

Benki Ya Maendeleo Ya Kilimo Tanzania (TADB) ikishirikiana na NMB zatimiza azma ya serikali katika matumizi ya huduma za kifedha pamoja na mikopo kwa wakulima wadogo wanaojishughulisha na mazao mbali mbali kama miwa, kahawa, korosho na pamba. Wakizungumza mkutano wa wanahabari wakiimba jijini Dar es Salaam, mkutano uliokuwa na lengo la kurasimisha mikopo kwa wakulima wapatao 2997 wa zao la korosho iliyolewa hivi karibuni, ambayo iligharimu zaidi ya shilingi Bilioni 9.3.

Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Ndugu Japhet Justine alisema “tulianzisha huduma ya kutoa dhamana ya mikopo kwa wakulima wadogo ambao wanaweza kukopesheka kirahisi na mabenki ya biashara. Siku hadi siku huduma hii imeleta mapinduzi makubwa. Kwa pia na NMB pekee tumetoa jumla ya mikopo Bilioni 14.3 kwa AMCOs 32, zenye wakulima 14310.

Akielezea muundo wa mikopo ya dhamana Mkurugenzi Mtendaji wa TADB “Ubunifu huu wa mikopo ya dhamana umesaidia mabenki kuwakopesha wakulima wengi zaidi. Hadi sasa tumekwisha kutoa zaidi ya bilioni 19.7 kwa mabenki manane ambayo tuna mikataba nao ya gurantee scheme. Lengo letu ni kuomba mikopo ya kwenye kilimo kutoka 8.7% kama ilivyo sasa hadi kufika 15% kwa miaka ijayo” Na kusema kuwa benki ya TADB inaamini mfalme dhamana utaongeza chachu na kutoa fursa kwa mabenki mengine zaidi kuomba huduma za mikopo kwa ajili ya kushughulikia. changamoto katika kilimo, na kuongeza wigo wa masoko na masoko.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe , alifurashishwa na ubunifu mkubwa unaofanywa na benki ya TADB katika kuchachusha maendeleo ya kilimo nchini alisema “TADB ndio benkibeba dhamana ya Serikali kukopesha wakulima, ili benki za biashara ziweze kukopesha wakulima wengi zaidi kuhifadhi fedha iweze kubeba dhamana na ndio mana TADB chombo. muhimu sana kwetu”

Naibu waziri huyo, alitoa wito kwa mabenki katika changamoto za mafanikio katika mazao yanapatikana upatikanaji wa kuhifadhi mazao, kuwa tutaongeza mikopo na kuwajengea uwezo AMCOs wataweza kufufua maghala yao kwa kuboresha yakatumika kibiashara. Vile vile Mhe. Bashe alisisitiza mabenki kuangalia namna ya mikopo gharama za mikopo inaweza kutoa riba nafuu.

Nae Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Ndugu Filbert Mponzi akifunga mkutano huo wa wana habari walisema “tuna Imani kubwa na TADB, ushirikiano wetu umeleta mafanikio mazuri. Ushirikiano huu wa kumuhudumia mkulima umeongeza wigo huduma zetu na hadi sasa tumetoa mikopo kwa jumla ya AMCOs 32, zenye wakulima 14,310”.