SIMIYU INA FURSA YA KUZALISHA MAZAO MENGI YA BIASHARA

Mkoa wa Simiyu una fursa ya kuzalisha mazao mengi ya biashara. Wizara ya Kilimo imewataka wananchi wa Mkoa wa Simiyu kuongeza uzalishaji wa zao la pamba sambamba na mazao mengine ya biashara ili kuwa na uhakika wa mapato. Vivyo hivyo hii ni fursa kubwa kwa wawekezaji kwenye kilimo nchini kuwekeza katika mkoa wa Simiyu na nchi ya Tanzania.

Read More