TADB Yakuza Biashara ya Kilimo kwa Wanawake 500 katika Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeshiriki katika semina ya wanawake iliyoandaliwa na EFM ikiwa ni sehemu ya Kampeni ya Uwezeshaji Wanawake 2025 inayojulikana kwa jina la Mwanamke wa Shoka. Tukio hili lilifanyika katika Ukumbi wa Noble, Kimara Mwisho, Dar es Salaam, tarehe 26 Machi 2025. #Mwanamkewashoka ilikuwa zaidi ya semina tu; ilikuwa ni sherehe ya maendeleo na...