Rais Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la TADB katika Maonesho ya saba ya Kilimo “Nane Nane” 2024, Dole Kizimbani – Unguja.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi, alitembelea banda hilo wakati akifungua rasmi maonesho ya saba ya Kilimo Zanzibar (Nane Nane) Agosti 3, 2024, Dole Kizimbani – Unguja. Katika banda la TADB, HE. Dkt.Mwinyi akipokelewa na Kaimu Meneja wa TADB Kanda ya Zanzibar Bw.Michael Madundo...
TADB katika Maonyesho ya Kilimo 2024 “Nane Nane” pale Dole Kizimbani – Unguja, Zanzibar.
Taasisi ya Wakulima Bant TADB inaungana na wakulima wote wa Zanzibar katika kuadhimisha msimu wa mkulima na kusherehekea pamoja katika viwanja vya Dole Kizimbani kuanzia tarehe 1-14 Agosti 2024 Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yalioandaliwa Zanzibar katika viwanja vya Dole Kizimbani kuanzia tarehe 1 – 14 Agosti 2024 yakiwa na kaulimbiu “Kilimo ni Utajiri Kila Mtu Atalima” The Tanzania Agricultural Development...