TADB inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake #IWD2024
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania imeungana na maelfu ya wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani #IWD2024 kuanzia tarehe 7 hadi 8 Machi, 2024. Maadhimisho hayo yalizinduliwa rasmi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TADB, Bw. David Nghambi, Machi 7, Makao Makuu ya TADB. Katika hotuba yake ya ufunguzi Bw. David, anatambua jukumu na juhudi za wanawake...