Waziri wa Fedha Mhe. Dkt.Mwigulu Nchemba akizindua ofisi ya TADB Kanda ya Kaskazini Arusha
Arusha, 12 Desemba, 2023 Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Ofisi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Kanda ya Kaskazini Arusha, kwa lengo la kupanua wigo wa fedha na upatikanaji wa mikopo ya upendeleo kwa wakulima, wafugaji na uvuvi jijini Arusha, Mikoa ya Kilimanjaro, Tanga na Manyara. Akiongoza uzinduzi huo, Waziri aliipongeza TADB kwa...