ARCHIVE ya Ukurasa

TADB itapokea mkopo wa dola milioni 66 kwa ajili ya kuimarisha usawa kutoka kwa AFDB

Tunayofuraha kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Kundi la Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha mkopo wa dola milioni 66 sawa na TZS 165 bilioni kwa serikali ya Tanzania kama mtaji wa ziada kwa benki yetu, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Akitoa shukurani zake, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB Bw. @Frank Nyabundege alipongeza juhudi za Serikali katika kuwezesha...