Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhi boti kumi na nne za uvuvi za kisasa zenye thamani ya 1.2bn/- kwa wavuvi wa Mkoa wa Tanga.
Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo Mhe. Abdallah Ulega Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ameipongeza TADB kwa kazi nzuri. Waziri Ulega amesema nia ya kutoa boti za mikopo yenye riba ya 0% ni juhudi za serikali kuimarisha sekta ya uvuvi nchini. Alisema kuwa Yeye.Dkt....