ARCHIVE ya Ukurasa

TADB Yatangaza Gawio la TZS 5.58 Bilioni Kufuatia Ongezeko la Faida la 31%.

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetangaza mgao wa kihistoria wa TZS 5.58 bilioni ikilinganishwa na TZS 850 milioni iliyotangazwa kwa mwaka unaoishia Desemba 2023. Tangazo hilo lilitolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa kwa mwaka unaoishia Desemba 31, 2024, uliofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar e Salaam.