MAGEREZA KIMBIJI 1

TADB YATEMBELEA SHAMBA LA MAGEREZA KIMBIJI

Katika kutekeleza makubaliano waliyoingia hivi karibuni, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania imetembelea shamba la michikichi la ekari 400 linalomilikiwa na Jeshi la Magereza nchini lililopo Kimbiji, wilaya ya Kigamboni – Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *