Kuadhimisha miongo sita ya mabadiliko ya kilimo nchini Tanzania kupitia ufadhili
Tanzania yapata mafanikio makubwa katika sekta ndogo ya maziwa kwani idadi ya ng'ombe chotara iliongezeka kwa mazizi manne hadi Mil 1.29 mwaka 2018/19 kutoka 783,000 mwaka 2017/18...